Event in Picture

WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI STADI NYANDA ZA JUU KUSINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA KAIMU MKURUGENZI WA KANDA ZA JUU KUSINI Bi SUZAN MAGANI ALIYEKAA KATIKATI,
KAIMU AFISA ELIMU WA MKOA WA NJOMBE BWANA HANS MGAYA ( WATATU KUTOKA KUSHOTO WALIOKAA) AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAHITIMU WA MAFUNZO YA HUDUMA KWA WATEJA (CUSTOMER CARE) MKOANI NJOMBE MARA BAADA YA KUWATUNUKIA VYETI HIVYO SIKU YA TAREHE 03.10. 2014 . MAFUNZO HAYO YALIRATIBIWA NA OFISI YA VETA KANDA YA NYANDA ZA JUU CHINI YA KAIMU MKURUGENZI WA VETA WA KANDA HIYO BI. SUZAN MAGANI ( WA PILI WALIOKAA) NA MRATIBU WA VYUO VYA UFUNDI STADI VETA WA KANDA YA NYANDA ZA JUU BWANA JOHN MWANJA (WA KWANZA WALIOKAA KUSHOTO)
PICHA YA PAMOJA KATI YA MKANDARASI NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA VETA WAKIWA MBELE YA JENGO JIPYA LILILOJENGWA CHUO CHA VETA VETA SONGEA,WATATU KUSHOTO NI MKURUGENZI WA LABOUR MARKET PLANNING AND DEVELOPMENT Mhe, ENOCK KIBENDELA NA WA PILI KUSHOTO NI KAIMU MKURUGENZI NYANDA ZA JUU KUSINI BI. SUZAN MAGANI NA WAPILI KULIA NI MKUU WA CHUO CHA VETA SONGEA NDG. GEDION OLELAIRUMBE.
MHESHIMIWA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIKATA UTEPE KATIKA UFUNGUZI WA CHUO CHA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI MAKETE, KILICHOJENGWA NA WANACHUO WA CHUO CHA MPANDA KILICHOPO VETA KANDA YA KUSINI MAGHARIBI.
MGENI RASMI KATIKA SIKU YA UFUNGUZI WA FAINALI ZA MASHINDANO YA UMOJA WA MICHEZO YA VYUO VYA UFUNDI STADI TANZANIA (UMIVUSTA) AMBAYE PIA NI MJUMBE WA BODI YA VETA WA KANDA YA NYANDA ZA JUU BWANA LUCAS MWAKABUNGU AKISALIMIANA NA WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU - WA CHUO CHA VETA IRINGA, MICHUANO HIYO ILIFANYIKA KATIKA UWANJA WA SAMORA ULIOPO MJINI IRINGA, KATIKATI NI MRATIBU WA VYUO VYA UFUNDI STADI VETA WA KANDA YA NYANDA ZA JUU BW. JOHN MWANJA.
WAFANYAKAZI WA VETA SONGEA (KUSHOTO) WAKIWA KATIKA VAZI LA BATIKI ZILIZO TENGENEZWA NA WANACHUO WA VETA SONGEA.KULIA NI WANACHUO WA KOZI FUPI YA UTENGENEZAJI WA BATIKI WAKIWA KATIKA MAFUNZO.
MGENI RASMI KATIKA SIKU YA UFUNGUZI WA FAINALI ZA MASHINDANO YA UMOJA WA MICHEZO YA VYUO VYA UFUNDI STADI TANZANIA (UMIVUSTA) AMBAYE PIA NI MJUMBE WA BODI YA VETA WA KANDA YA NYANDA ZA JUU BWANA LUCAS MWAKABUNGU AKISALIMIANA NA WACHEZAJI WA MPIRA WA PETE WA TIMU YA SCIM BROTHERS VTC YA TOSAMAGANGA - RINGA VIJIJNI, MICHUANO HIYO ILIFANYIKA KATIKA UWANJA WA SAMORA ULIOPO MJINI IRINGA SIKU YA TAREHE 29.09.2014 AMBAPO TIMU HIYO ILIPAMBANA NA TIMU YA CHUO CHA UFUNDI STADI (VETA) IRINGA RVTSC, KATIKATI NI MRATIBU WA VYUO VYA UFUNDI STADI VETA WA KANDA YA NYANDA ZA JUU BW. JOHN MWANJA.
WANACHUO WA FANI YA UPISHI (FP) NA UHUDUMU WA VYAKULA NA VINYWAJI (FBSS) KATIKA CHUO CHA VETA IRINGA WAKIWA KATIKA KUJIFUNZA KUANDAA CHAKULA NA UTAYARISHAJI SEHEMU KWA AJILI YA CHAKULA NA VINYWAJI.
WANACHUO KATIKA FANI YA USEREMALA PAMOJA NA UASHI WAKIWA KATIKA MAFUNZO KWA VITENDO KATIKA CHUO CHA UFUNDI STADI VETA MAKETE.
UFUGAJI WA KUKU, NI MOJAWAPO YA KOZI ZINAZOTOLEWA NA CHUO CHA UFUNDI STADI CHA PROFFESSIONAL COLLEGE OF NJOMBE. PICHANI NI WANACHUO WA FANI HIYO WAKIWA KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO.
PICHANI NI WANACHUO WAKIWA KATIKA FAINALI ZA MPIRA WA PETE KATIKA MASHINDANO YA UMIVUSTA-2014 YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SAMORA MANISPAA YA IRINGA
PICHANI NI WANACHUO WAKIWA KATIKA FAINALI ZA MPIRA WA MIGUU KATIKA MASHINDANO YA UMIVUSTA-2014 YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SAMORA MANISPAA YA IRINGA
MAFINGA LUTHERANI VTC NI CHUO PEKEE KATIKA NYANDA ZA JUU KINACHOENDESHA MAFUNZO YA KOZI NDEFU KATIKA FANI YA UMEMEJUA. PICHANI NI WANACHUO WAKIENDELEA NA MAFUNZO KWA VITENDO KATIKA KOZI YA UMEMEJUA.
PICHANI NI WANACHUO WA FANI YA UFUNDI BOMBA NA UMEME WA MAJUMBANI NA VIWANDANI WAKIWA KATIKA MAFUNZO KWA VITENDO KATIKA CHUO CHA UFUNDI STADI PERAMIHO.
UCHAPAJI(PRINTING) NI MOJAWAPO YA FANI ZINAZOTOLEWA KATIKA KANDA YA NYANDA ZA JUU. PICHANI NI WANACHUO WA UFUNDI DON BOSCO VTC WAKIWA KATIKA MAFUNZO KWA VITENDO.

Regional Director

Quick Navigator