The United Republic of Tanzania
Ministry of Education Science and Technology
Vocational Education and Training Authority
Skilled Labour Force The Future of Tanzania
HONGERA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MINNE YA MAFANIKIO
Posted on: Thursday, 20 March 2025
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inatoa pongezi kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne ya uongozi madhubuti na wenye mafanikio makubwa.