Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa ufadhili wa mradi wa Bomba la Mafuta EACOP.
Ili kuona orodha kamili ya majina, gusa hapa.
Aidha VETA inapenda kuwajulisha waliochaguliwa kuwa wanatakiwa kufika katika vyuo walivyochaguliwa tarehe 27 Januari 2025.
© 2018 - VETA Head Office