The United Republic of Tanzania
Ministry of Education Science and Technology
Vocational Education and Training Authority
Skilled Labour Force The Future of Tanzania
Ada na gharama za mafunzo kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA
Posted on: Sunday, 07 May 2023
Ada za mafunzo kwa kozi za muda mrefu kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa sasa ni shilingi 60,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa katika fani zote na bweni ni shilingi 120,000/=. Mahitaji mengine hutegemeana na fani na chuo, yanakadiriwa kuwa kati ya Shilingi 200,000 na 250,000