The United Republic of Tanzania
Ministry of Education Science and Technology
Vocational Education and Training Authority
Skilled Labour Force The Future of Tanzania
Posted on: Wednesday, 07 June 2023
WARATIBU WA MAFUNZO VETA WANOLEWA USIMAMIZI, UENDESHAJI WA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA UFANISI
Waratibu na Wasajili wa vyuo vya VETA wamekutana jijini Dodoma kwa lengo la kujengewa uwezo katika kuboresha usimamizi na uendeshaji wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi.
Posted on: Wednesday, 24 May 2023
DKT. MPANGO AAGIZA TARURA, RUWASA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA HUDUMA CHUO CHA VETA NGORONGORO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, tarehe 17 Mei 2023 amefungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Ngorongoro na kuziagiza Wakala wa Barabara za Vijij...
Posted on: Saturday, 20 May 2023
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Mhe. Husna Sekiboko (Mb) ametembelea banda la VETA kwenye Maonesho ya Pili ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi na kuvutiwa na umahiri wa wanafunzi wa VETA katika kueleza na kufafanua vyema kile walichojifunza kwenye fani zao.
...
Posted on: Friday, 19 May 2023
Wananchi mbalimbali wakipata taarifa na kujionea shughuli za utoaji mafunzo ya ufundi stadi zinazofanywa VETA walipotembelea banda la VETA kwenye Maonesho ya Pili ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.