The United Republic of Tanzania
Ministry of Education Science and Technology
Vocational Education and Training Authority
Skilled Labour Force The Future of Tanzania
CPA. Anthony Kasore atembelea banda la VETA kwenye Maonesho ya 47 ya Sabasaba.
Posted on: Tuesday, 04 July 2023
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA. Anthony Kasore (Wa Pili Kushoto) akipata maelezo kuhusu ubunifu wa kifaa cha kufundishia fani ya Umeme wa Magari, kutoka kwa Andrea Shayo, Mwalimu wa chuo cha VETA Songea, alipotembelea banda la VETA kwenye Maonesho ya 47 ya Sabasaba.