KUONGEZWA KWA MUDA WA KUWASILISHA MAOMBI YA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KITAIFA YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU (MAKISATU) 2020
Ikiwa wewe ni mbunifu na ungependa kuwasilisha ubunifu wako kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inakutangazia kuwa muda wa kuwasilisha maombi umeongezwa hadi tarehe 10 Februari, 2020.
Tumia muda huu kuwasilisha taarifa za ubunifu wako ili ushiriki mashindano haya.
Fomu zinapatikana kwenye tovuti ya VETA www.veta.go.tz na kwenye mitandao yetu ya Kijamii Kwa maelezo zaidi au ufafanuzi piga simu au tuma ujumbe mfupi kwenda namba 0736505027 au 0755267489
Kumbuka VETA inaratibu mashindano kwa makundi ya vyuo vya ufundi stadi na sekta isiyo rasmi
VETA HEAD OFFICE,
12 VETA Road.
41104 Tambukareli,
P.O. BOX 802, Dodoma Tanzania,
Email: info@veta.go.tz
Telephone: +255 26 2963661
Fax: +255 22 2863408
Url: www.veta.go.tz
© 2018 - VETA Head Office