The United Republic of Tanzania
Ministry of Education Science and Technology
Vocational Education and Training Authority
Skilled Labour Force The Future of Tanzania
WANANCHI WAJITOKEZA KWENYE BANDA LA VETA KWENYE MAONESHO YA SABASABA KUPATA HUDUMA YA SALUNI
Posted on: Monday, 01 July 2024
Mwafunzi wa fani ya usisi na urembo Esther Elikana kutoka chuo cha VETA Shinyanga akitoa huduma kwa mteja Judith Kingazi mkazi wa Kigamboni Jijini Dar es salaam,alipotembelea babda la lililopo viwanja vya Julius K. Nyerere (sabasaba) Jijini Dar es salaam.
“Nimekuja banda la VETA kupata huduma ya kutengenezwa nywele,kwasababu huduma za saluni zinazotolewa VETA zina bora wa hali juu, na hii siyo mara yangu ya kwanza kuja kupata huduma hii mara kwa mara VETA wanapokuwa katika maonesho haya huwa nafika nakupata huduma za saluki nawakaribisha ba wengine kuja hapa “amesema Judith “
Maenesho hayo ya Biashara ya Kinataifa Dar es salaam (sabasaba) yameanza tarehe 28 Juni 2024 yarafikia kilele tarehe 13 Julai 2024.
VETA knawakiribisha wakazi wote wa Jiji la Dar es salaam na mikoa ta jirani kutembelea banda lake lililopo viwanja vya Julius.K.Nyerere (sabasaba) ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofantwa na VETA kama vile programu za mafunzo ,bidhaa na bunifu mbalimbali zinazofanywa na walimu na wanafunzi kutoka VETA.