The United Republic of Tanzania
Ministry of Education Science and Technology
Vocational Education and Training Authority
Skilled Labour Force The Future of Tanzania
Watumishi VETA Makao Makuu washiriki Bunge Marathon, jijini Dodoma
Posted on: Monday, 14 April 2025
Tarehe 12 Aprili, 2025 watumishi wa VETA Makao Makuu wameshiriki katika mbio zilizo ratibiwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mbio hizo zimehushia kukimbia umbali wa KM 5, KM 10 na KM 21.
Akizungumza baada ya kukamilisha mbio hizo mgeni rasmi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mbio hizo zinalenga kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule ya Sekondari ya wavulana ambayo itajengwa eneo la Kikombo jijini Dodoma.